Smart Lens Studio, tunatoa huduma mbalimbali zinazokidhi mahitaji yako yote ya picha na video kwa ubunifu na weledi. Chagua paketi inayokufaa na utimize maono yako kupitia huduma zetu za kitaalamu.
Jaza form na uweze kusubmit
Kumbukumbu bora za harusi yako na
send-off yako kwa picha na video za kipekee.
Tunatoa huduma za kitaalamu zinazohakikisha kila tukio linaakisi upendo,
furaha, na kumbukumbu za kipekee.
Kifurushi chote 👉 HAPAA!!
Bonyeza hapa kuona page yetu INGIA
🖼️ Picha Mbao (Photo Prints)
Picha zako za kumbukumbu
zinapatikana kwa ukubwa mbalimbali na kwa bei nafuu.
Sisi tunajivunia kutoa picha za kipekee zinazowakilisha hadithi zako za maisha.
🔸 A5 - 7,000 TSH
🔸 A4 -15000 TSH
🔸 A3 - 30000 TSH
🔸 A2 - 60,000 TSH
🔸 A1 - 85,000 TSH
🚚 Delivery bure kwa muktadha wa huduma zetu!
Bonyeza Kuagiza 👉 AGIZA
Bonyeza hapa kuona page yetu INGIA
✅ Tunatengeneza mazingira ya starehe na ya kipekee kwa kila mteja.
PACKAGE ZETU
Picha moja sh, 5000
Picha 40(edited) 15,0000
Picha 80(edited) pamoja na frash 250000
Picha 100(edited) pamoja na frash na short video 30000
Wasiliana Sasa ili kupanga ratiba yako 👉 ODA HAPA!!
Ingia hapa kuona sample zetu INGIA
🏢 Corporate Events (Matukio ya Biashara)
Huduma za kitaalamu kwa matukio ya
mashirika, hafla za kimkakati, maonyesho, uzinduzi wa bidhaa na matukio ya
ofisi. Tunahakikisha kila tukio linadumu kwa kumbukumbu nzuri.
Wasiliana na sisi kwa maelezo zaidi 👉 ODA HAPA!!
🎥 Tv Programs & Production
Tunatoa huduma za kitaalamu za
uandishi wa maudhui ya vipindi vya televisheni, video za matangazo, na uhariri
wa hali ya juu kwa kuzingatia hadhira yako na maono ya kipekee.
🎥 Kila kitu kinahusiana na hadithi yako!
Anza Sasa na Smart Lens Studio
🖌️ Graphic Design
Tunatoa huduma za ubunifu wa picha
za matangazo, muundo wa brand, na ubunifu wa vipeperushi ili kuimarisha
utambulisho wa biashara yako.
🔹 Ubunifu wa kitaalamu
🔹 Haraka na ubora
🔹 Kazi za kipekee kwa maono yako
Wasiliana na sisi sasa 👉 TUCHEKI HAPA!!
✨ Kwa nini Chagua Smart Lens Studio?
✅ Taaluma ya kipekee na huduma za ubunifu
✅ Utunzaji wa kumbukumbu zako kwa mtindo wa kipekee
✅ Muda wa kujibu kwa haraka na huduma za kitaalamu
Wewe ni muhimu kwetu, na kila huduma
tunayoitoa ina lengo la kufanya kila tukio lako kuwa la kipekee.
💬 Tafadhali Wasiliana Nasi
Ikiwa una maswali au unahitaji kujua
zaidi kuhusu huduma zetu, tafadhali tumia njia zifuatazo:
📞 Simu/Mawasiliano ya Moja kwa Moja: +255688 882 895
✉️ Barua pepe: Alikhansadikikhalid95@gmail.com

.jpg)


.jpg)


